MARKETING TERRORIST IN TZ COMPETITIVE FIELDS.

UTAMPIGAJE MREMBO KAMA HUYU?

UTAMPIGAJE MREMBO KAMA HUYU?

Monday, March 30, 2015

SALAAMU ZA PASAKA

Tukiwa tunamalizia kipindi cha kwaresma kwa wakristo wote tunaotumia muda huu wa mfungo wa siku 40 kukumbuka mateso aliyoyapata Shujaa wetu YESU.
Napenda kuwashukuru wakristo wote na wote walioungana nasi katika tafakuri hii ya mateso kwa MKOMBOZI wetu wa kiimani kuwa hatimaye tunaelekea IJUMAA KUU hapo tarehe 03/04/2015 na baadae pasaka.
Ushauri wangu ni kuwa tutumie tafakuri hii kudumisha upendo miongoni mwetu na kwa taifa.
AMEN.
MGANYIZI@Blogger.

No comments:

Post a Comment