MARKETING TERRORIST IN TZ COMPETITIVE FIELDS.

UTAMPIGAJE MREMBO KAMA HUYU?

UTAMPIGAJE MREMBO KAMA HUYU?

CHRISTMASS BIG UP .

I delightedly want want to share few things with all christians and non christians that the son of hero is born therefore let us respect this day very much because it is not good to commit evils on this day.watu wengi wanapenda kuitumia siku hii kuharibu yaani kwa maana ya kwamba wanafanya ngono huria,vibaka nao wanatafuta nani kavaa cheni nzuri ili waweze kupat dili,jamani tunakosea sana.Mi naona yale yaliyoandikwa kwenye vitabu vitakatifu ya kuwa suku za mwisho zikikaribia watu watakua wakaidi,wazinzi wa kupitiliza,wasiokua na heshima,wakufuru..............MIMI NAAMINI INAWEZEKANA KWELI NYAKATI ZIMEKARIBIA?any way let us get enough time to brainstorm this and it will be the right moment for us to make some corrections to our doings....NAPENDA PIA KATIKA SAFU HII WANAFUNZI WOTE WALIOKO VYUONI WAJIHESHIMU KWANI NAJUA WENGI WAO HUWA HAWAPATI COUNCELLING KUTOKA KWA WALEZI,WAZAZI KABLA HAWAJAFIKA CHUO,NA WANAPOFIKA WATU HUSIKA HUWA HAWAFANYI HIVYO KWA SABABU YA MDA KUWA MFINYU.NAPENDA KUENDELEA KUWATAKIA CHRISTMAS NJEMA NA HAPPY NEW YEAR.

No comments:

Post a Comment